Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
Angalia rangi ya background ni ya chama gani?
Ndio, laakini bado nimeshindwa kuunga dots
Angalia rangi ya background ni ya chama gani?
Hiyo ni frame ya pichaKile ni kioo ama?
Ina maana ukihudumia wananchi huruhusiwi kunywa chai?!Ofisini uaenda kunywa chai au kuhudumia wananchi?
Bado hujamuelewaOfisini uaenda kunywa chai au kuhudumia wananchi?
Kile siyo kioo mkuu ni picha ya mkulu.Kile ni kioo ama?
Kwani hao wanaohudumia wananchi ni maroboti?,Hata maroboti yanahitaji " service"Ofisini uaenda kunywa chai au kuhudumia wananchi?
Ambayo unainunua kwa pesa yako hivyo ni mali yakoKile siyo kioo mkuu ni picha ya mkulu.
Wewe wacha usukununu kama haujawahi kuajiliwa ndiyo utauliza hayo maswali ya kitotoOfisini uaenda kunywa chai au kuhudumia wananchi?
Kila kukicha ni afadhali ya janaHahahahah dah Ila sa hzi watumishi mmmh kazi mnayo
Huyo anaitwa JingalaoKwani hao wanaohudumia wananchi ni maroboti?,Hata maroboti yanahitaji " service"
Hivi lile tamko la DAB la kutaka kila ofisi iliyopo jijini dar kuwa na picha ya mkulu iliishia wapi?Ambayo unainunua kwa pesa yako hivyo ni mali yako
Inchi ipo kwenye raitii tiraaakiBado hujamuelewa
Ana maanisha kuwa watu wanaogopa hata kwenda luch hivo inawabidi waende na chai kabisa
Kwani unaweza kwenda luch ifanyike ziara ya kushtukiza