Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
.... IPO siku watamnaniliu


masoud daaah
Hilo duka mbona kama wanauza bikini!Kipanya hapo kamanisha SERIKALI inafanya matumizi yasiyo ya msingi bila idhini ya bunge, Sema nchi ndio sijajua ni nchi gani hiyo.
Yuh man, pia ndio video ya kwanza ya Hip hop kama sio muziki yote ya Tanzania kuchezwa Chanel O wakati huo, hawa jamaa ndio wameitambulisha Hip hop Maasai International kipindi hicho mzee, nashangaa watu wanamuona Diamond wa ajabu kuenda states leo watu wametimba pande hizo kitambo sana bila Kiki wala ufirauni wa aina yeyote. Saizi hakuna muziki kuna wazinzi wa kisanii na wasambaza maradhi kwa bei poa. .... can't sell out for the plastic shoes. ..Hii ngoma kumbe unajua mkuu..siku hizi hawa vijana sijui wanaimba nini.
Video ya ngoma hii ndo video ya hiphop ya kwanza kufikisha 1M+ views youtube back in the days.
Hali ya mpiga kura ni hivyo da huyu jamaa nae anajihami nini inaendelea........

Picha imezungumza zaidi kuliko maneno. Naked truth! Ila hilo lidubwasha angeoliongezea kidogo jina liwe MHESABU KURA NA MTANGAZA MATOKEO
Kuna watu wana shahada mpaka za uzinifu sijui uzanifu, lakini hawawezi kutumia shahada zao kuelezea hali halisi au kuelezea changamoto zilizopo kama Kipanya afanyavyo.
Mungu ambariki na kumlinda Masoud Kipanya.
Three in One
Hiyo silaha kwa nyuma inawakilisha geshi letu la polish
Suti na miwani ni watu wasiojulikana
Rangi ya shati sina haja ya kuelezea
akili kichwani mwako
anaitendea haki sanaa yake..
Ndanda Kosovo hasira zitakuwa zimeanza kumpanda
Kweli mtupu.nec ijitasmini