Kabisa mkuuAtatekwa tena soon
Mungu mbariki Masoud KipanyaYule msanii mashuhuri nchini Tanzania na Afrika mashariki maarufu kama Kipanya ametoa picha moja murua ila lazima ufikirie View attachment 871054
Mungu mbariki Masoud Kipanya
AMINAMungu mbariki Masoud Kipanya
Inabidi tumuombeeeAMINA
Kipanya anatumia Kalamu yake Kufikisha ujumbe Sahihi
Kuna watu wana shahada mpaka za uzinifu sijui uzanifu, lakini hawawezi kutumia shahada zao kuelezea hali halisi au kuelezea changamoto zilizopo kama Kipanya afanyavyo.Kipanya anatumia Kalamu yake Kufikisha ujumbe Sahihi
Three in OnePicha imezungumza zaidi kuliko maneno. Naked truth! Ila hilo lidubwasha angeoliongezea kidogo jina liwe MHESABU KURA NA MTANGAZA MATOKEO
Ndanda Kosovo hasira zitakuwa zimeanza kumpandaThree in One
Hiyo silaha kwa nyuma inawakilisha geshi letu la polish
Suti na miwani ni watu wasiojulikana
Rangi ya shati sina haja ya kuelezea
akili kichwani mwako
anaitendea haki sanaa yake..
Hii ngoma kumbe unajua mkuu..siku hizi hawa vijana sijui wanaimba nini.Amenikumbusha Faza Nelly wa xplastaz, anakuambia "hii kamba ngumu" content nzima ya wimbo wao "nini dhambi" iko sawa kabisa na image aliyoichora kipanya mfano pale anapoongelea Mambo ya kuvutana na wenye vitambi no fair game.... Long live real Hip Hop maana huwezi habadani kutana na mashahiri kama haya kwa Wasafi nzima, Tip Top na wapumbavu wote wa gongo feva....