Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Unaweza shangaa akina Mkuchika na wenzie wakaagiza ile kamati yao maarufu ya "kinga, madaraka, mamlaka na haki za Bunge" imuite Kipanaya aeleze anamaanisha nini🙂
 
Kwa wenye uelewa mkubwa kama mimi MANIGA2018 pekee ndio tunaomuelewa Kipanya, ila vilaza watakuja kubishana juu ya hiyo katuni ya Kipanya hapo juu.
 
Back
Top Bottom