Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
Maana yake anafagia lakini taka hazitoki
Umuoni makonda?sasa anasema tusitumie akili kubwa Ku tafsiri katuni zake hapa Kwa akili ndogo nimetoka bilabila
mmhHuwezi mtupia mabegi kijana wakati mabegi hayo kayatunzia siri nyingi, utakuwa sawa na siri zako kuzimwaga!!
Kijana hana wasi, anasoma tu mbwembwe za hadaa!!