Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hakuna mwenye akili ya Kesho Huko..

Mambo ni leo leo Tu, tena sasa ivi...
Huyo Polepole sijui anakieneza chama wapi, wakati wenzie walikuwa hawalali busy field, yeye anajifungia kariakoo....
CCM mfu itaaibika not so long.... It's about time
 
Hii verse imeimbwa mara nyingi sana...
 
Hakuna mwenye akili ya Kesho Huko..

Mambo ni leo leo Tu, tena sasa ivi...
Huyo Polepole sijui anakieneza chama wapi, wakati wenzie walikuwa hawalali busy field, yeye anajifungia kariakoo....
CCM mfu itaaibika not so long.... It's about time
mbona Pole pole anazunguka nchi nzima kuwajenga viongozi wawe wajamaa na wazalendo...
 
Back
Top Bottom