Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Jana nilinunua kinu na mtwangio,nataka nimualike jamaa aje azindue kiwanda kianze kufanya kazi!
 
Tunaendelea kukupa kongore mwana katuni Kipanya
FB_IMG_1521721489151.jpg
 
Likipele limepata mkunaji mpaka kucha zinapinda!!! Dadeki nyekundu
 
hahaha dogo katulizwa na dingi kusudi jamaa aendelee kutoa porojo..,
 
Sijaona Uongo Wa Waziri Ila Ndiyo Namna Ya Viongozi Watu Hapo Yupo Kwenye Fire Katika Utekelezaji Wa Majukumu
Viwanda 543 Singida
Manyoni 37
Pwani 371
 
Back
Top Bottom