Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

barafuyamoto UWE UNAANDIKA KISWAHLI.. Sasa ona umejiaibisha, eti 'kipanya syo creativity'

Sema kipanya syo 'creative'

Hata hvyo, wewe na kipanya nani creative?
Lugha ya kizungu sio tatizo kwangu, kama umeelewa nilimaanisha nini, wewe unayejifanya kukosoa sehemu ambayo mwenye akili anajua ni typing error tatizo ni lako na akili yako fupi, wakosoaji wa lugha wengi kwao lugha ndio utata. Sijawahi waona watu ambao wana ujuzi mzuri wa lugha hata humu jf wakiwa bize na kusema fulani lugha haiko sawa, kwa kusoma flow na logic ya alichoandika, na structure ya lugha, utatambua ni typing error au kapitiwa au lugha haiko sawa, sasa wewe endelea kupambana na lugha.
Au Kwa kiswahili kwako ndio hmaga typing error??

P.s: Ni wapi nilikosea?? Mkurupukaji wewe! Sehemu iliyokutoa povu nimesema, SIONI CREATIVITY yake, sio SYO CREATIVITY. Una matege ya macho mkuu.
 
Usiwe kisiwa, vuka boda kupitia hata mitandaoni. Utajifunza mengi, tatizo lako nolionalo ni umezungukwa na kuta za ufipa, haujipi nafasi ya kufikiri nje ya hizo kuta.
Kwani wewe umeshafunguliwa kutoka hapo chumba namba 6 na Polepole?
 
Lugha ya kizungu sio tatizo kwangu, kama umeelewa nilimaanisha nini, wewe unayejifanya kukosoa sehemu ambayo mwenye akili anajua ni typing error tatizo ni lako na akili yako fupi, wakosoaji wa lugha wengi kwao lugha ndio utata. Sijawahi waona watu ambao wana ujuzi mzuri wa lugha hata humu jf wakiwa bize na kusema fulani lugha haiko sawa, kwa kusoma flow na logic ya alichoandika, na structure ya lugha, utatambua ni typing error au kapitiwa au lugha haiko sawa, sasa wewe endelea kupambana na lugha.
Au Kwa kiswahili kwako ndio hmaga typing error??

P.s: Ni wapi nilikosea?? Mkurupukaji wewe! Sehemu iliyokutoa povu nimesema, SIONI CREATIVITY yake, sio SYO CREATIVITY. Una matege ya macho mkuu.
Fent fod
 
Back
Top Bottom