Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Ulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 tayari wewe ni bonge la muwekezajiYaani mtu hata kiwanda cha Juice Baridi huna lakini kila mwaka wewe ni kutetea wenye viwanda...... ha ha ha ha haha
Ulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 tayari wewe ni bonge la muwekezajiYaani mtu hata kiwanda cha Juice Baridi huna lakini kila mwaka wewe ni kutetea wenye viwanda...... ha ha ha ha haha
Kipanya yupo huru afanyi kazi kwa kutegemea apate teuziNampenda sana Masoud una weledi wa juu sana kweli wewe ni no one kwa kweli toka nimeanza kukusikia miaka ya 2004.....2006 bado uko juu keep it up kwa kweli
Kipanya yupo huru afanyi kazi kwa kutegemea apate teuzi
Hana mpango nazo kabisaWala haitaji hizo teuzi............. yeye kam ayeye anajitosheleza
What is new is his works, absolutely normal. Desperation is resulting you guys to worship whatever, regardless of of its ordinality!Masoud yuko 1 Century ahead
What is new is his works, absolutely normal. Desperation is resulting you guys to worship whatever, regardless of of its ordinality!
Pawel Kuczynski is a genius, check some of his works, your mind will be blown away in provoking thoughts.
View attachment 721345
View attachment 721346
View attachment 721347
View attachment 721348
View attachment 721350
View attachment 721351
View attachment 721352
View attachment 721353
Now, this is genius! It provokes you to think!
Ni mtazamo wangu, kipanya sioni creativity yake ktk vikatuni vyake. Kingo is far ahead of him.Wewe always uko bias mbona dikteta uchwara hana akili??
Ni mtazamo wangu, kipanya sioni creativity yake ktk vikatuni vyake. Kingo is far ahead of him.
Kwa kuwa kingo alikuwa na uelekeo wa kuimba nyimbo za lumumba?Ni mtazamo wangu, kipanya sioni creativity yake ktk vikatuni vyake. Kingo is far ahead of him.
Teeeeeeeeeeeeh, Teeeeeeeeeeeeh, Teeeeeeeeeeeeeh,Huoni creativity kwakuwa anampinga dikteta uchwara
Okei.Huoni creativity kwakuwa anampinga dikteta uchwara
Okei.
Ni mtazamo wangu ila hana ubunifu. Ishu ni kwamba ninatumia mitandao ya kijamii kuona na cartonists wa nje wanafanyaje ktk kuongeza ubunifu, kipanya ajifunze kuwa unpredictable.
Ndio hilo umeliona, katuni zake "haziongei" bali zinakulazimisha utumie akili.Kwa kuwa kingo alikuwa na uelekeo wa kuimba nyimbo za lumumba?
Okei.
Ni mtazamo wangu ila hana ubunifu. Ishu ni kwamba ninatumia mitandao ya kijamii kuona na cartonists wa nje wanafanyaje ktk kuongeza ubunifu, kipanya ajifunze kuwa unpredictable.
Sawa.Sawa kachambe ulale
Kwa wenye akili kama sisi tunaelewaNdio hilo umeliona, katuni zake "haziongei" bali zinakulazimisha utumie akili.
Usiwe kisiwa, vuka boda kupitia hata mitandaoni. Utajifunza mengi, tatizo lako nolionalo ni umezungukwa na kuta za ufipa, haujipi nafasi ya kufikiri nje ya hizo kuta.Anajitambua kwenye taaluma yake siyo kama wale kina Mayalla
Ona sasa, sijasema haeleweki! Nimesema hana ubunifu. Duh!Kwa wenye akili kama sisi tunaelewa
Usiwe kisiwa, vuka boda kupitia hata mitandaoni. Utajifunza mengi, tatizo lako nolionalo ni umezungukwa na kuta za ufipa, haujipi nafasi ya kufikiri nje ya hizo kuta.