Angalia rangi ya nguo ndo utaelewa.Daaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu
Kweli hujui kule NIDA alisave, E-Pasport alisave, na wapi kwingine? Hata kwenye Bormberdia alisave, sasa sijui anaziweka wapi?Daaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu
Yaani we shunie huwa natamani siku moja upepo mkali uje upeperushe hilo gauni lako...........[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usingoje upepo jaman njo upeperushe kwa mikono yakoYaani we shunie huwa natamani siku moja upepo mkali uje upeperushe hilo gauni lako...........
We kwa juhudi zangu binafsi sikuwezi ndo maana tumaini langu pekee nimelielekeza kwenye upepo aseeeeh, one day yesUsingoje upepo jaman njo upeperushe kwa mikono yako
Acha uoga unatakiwa ujiamini we mwanaume unakataje tamaa mapema hivyoWe kwa juhudi zangu binafsi sikuwezi ndo maana tumaini langu pekee nimelielekeza kwenye upepo aseeeeh, one day yes
Uko nje ya Mada mkuu.Yaani we shunie huwa natamani siku moja upepo mkali uje upeperushe hilo gauni lako...........
Sasa hivi tunamtegemea KipanyaHamna kinacho save.wa hapa ni propaganda tuu.ndio maana hataki mtu ahoji.
Media zote kaweka mfukoni hakuna wakuhoji.
AiseeYaani we shunie huwa natamani siku moja upepo mkali uje upeperushe hilo gauni lako...........
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Usingoje upepo jaman njo upeperushe kwa mikono yako
Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Dah kila nkijaribugi kubonyeza kitufe kilichoandikwa Pm naishiaga kuandika subject tu........ ......Kwenye body maneno yote huniishiaAcha yoga unatakiwa ujiamini we mwanaume unakataje tamaa mapema hivyo
Hela za watumishi hewaShukrani za pekee ziendelee kumfikia mchora katun maarufu kama Kipanya kwa kuendelea na fimbo zake![]()
Pole sana mkuu endelea kuishiwa manenoDah kila nkijaribugi kubonyeza kitufe kilichoandikwa Pm naishiaga kuandika subject tu........ ......Kwenye body maneno yote huniishia
Ahsante mkuu, ila ipo siku ntajilipua nikutimbie huko, ngoja nitafute nguvu za kiume kwanza[emoji385] [emoji384] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji385]Pole sana mkuu endelea kuishiwa maneno
ukienda sahara media pale bwawani street utamkuta..ana kiherehere na ujuvi tangu michezo na magic fmMusiba tangu alivyofukuzwa chanel kumi sasa kachanganyikiwa