Reptilia
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 875
- 859
haswaa mkuuUmelaanika kwa damu za watu
haswaa mkuuUmelaanika kwa damu za watu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shukrani za pekee ziendelee kumfikia mchora katun maarufu kama Kipanya kwa kuendelea na fimbo zake![]()
Mbavu zako![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasiliana na Kipanya mkuuDaaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu
Daaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu
hahahaAkiuliza "Hela gani?" anapaswa ajibiwe "Hela tulizosave" akiuliza tena hvyo anajibiwa hvyohivyo
Musiba tangu alivyofukuzwa chanel kumi sasa kachanganyikiwaooohh..! Anambeep Msiba
Msiba hakawii kumwongeza Kipanya kwenye list ya watu hatari
PoleDaaah sasa mbona habari nyenyewe imekaa kiuchoyo tu haieleweki funguka mkuu