Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Sijui kama ataweza punguza maana mwenyewe kashiiibaaa anatamani kutumia nguvu tuu
 
Acheni kutafuta kiki. Kwa vimaandamano vya
Kijinga. Acheni kujifariji CHADEMA. Mkikaa mkitulia nje ya vidole vyenu vinavyoandika humu Kama kweli mna akili Sio vichaaa. Mnajua mmechemka sana. Hamna sera. Tena. Mnaishi kama mwanamke mwenye gubu anasubiri mumewe afanye jambo ye aseme. It’s so sad. Na KIPANYA wants cheap popularity Sio kosa lake kawaona wateja wake kama nyie so ana akili. Wanavyoongea PB inatia mpaka huruma.
 
Sasa mbona umemchora yule kamanda Omari wa zamani na alishastaafu?
 
Acheni kutafuta kiki. Kwa vimaandamano vya
Kijinga. Acheni kujifariji CHADEMA. Mkikaa mkitulia nje ya vidole vyenu vinavyoandika humu Kama kweli mna akili Sio vichaaa. Mnajua mmechemka sana. Hamna sera. Tena. Mnaishi kama mwanamke mwenye gubu anasubiri mumewe afanye jambo ye aseme. It’s so sad. Na KIPANYA wants cheap popularity Sio kosa lake kawaona wateja wake kama nyie so ana akili. Wanavyoongea PB inatia mpaka huruma.
Umelaanika kwa damu za watu
 
Back
Top Bottom