Wachawi wakubwa nyinyiMnashindwa vibaya ktk chaguzi kwa kukosa mbinu za kushawishi wananchi wawakubali, mnaishia kushabikia katuni tu.
Maneno yakike Haya, ninawaswas naweweMmeshindwa kutangaza sera kwa kusubiri kipanya na mange!
Maneno yakikeMmeshindwa kutangaza sera kwa kusubiri kipanya na mange!
JF ishawekwa kwapani, we anzisha uzi kusupport kile anachokifanya dada wa taifa, dakika sifuri tu uzi unakua blocked na ban juu unaweza kupata ukijidai kulalamika.Mpaka JF tunatafutwa hivyo?
HahahahaKipanya anachokitafuta atakipata
Ndio maana kila nikiufungua ule uzi wa dada wa taifa nakuta mambo ni Error!!! Sasa tukaishi wapi km nchi yetu ya amani JF nayo imetekwa?JF ishawekwa kwapani, we anzisha uzi kusupport kile anachokifanya dada wa taifa, dakika sifuri tu uzi unakua blocked na ban juu unaweza kupata ukijidai kulalamika.
Umeona eeee