Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
Uyo mweupe ni msimamizi wa uchaguzi na uyo mwenye kaki ni police. Msimamizi kaiba sanduku la kura. Police kamtoa mbio had kamkamata na kumrudisha. CCM washangilia.
hapo amerudi na sanduku la kura hakurudi na mhalifu...Uyo mweupe ni msimamizi wa uchaguzi na uyo mwenye kaki ni police. Msimamizi kaiba sanduku la kura. Police kamtoa mbio had kamkamata na kumrudisha. CCM washangilia.
Uyo mweupe ni msimamizi wa uchaguzi na uyo mwenye kaki ni police. Msimamizi kaiba sanduku la kura. Police kamtoa mbio had kamkamata na kumrudisha. CCM washangilia.
UJinga wa Watanzania.Police analinda kura ghafla mtu kabeba box na kukimbia nalo police kamkimbiza hadi kwenye nyumba "isiyojulikana" kisha Police katoka kwenye nyumba na box bila mwizi kalirudisha kituoni wapiga kura wanashangilia bila kuhoji mwizi yuko wapi
Ndiyo lumumba hao tuwavumilie maana kwao muhimu ni kujaza matumboManeno yakike Haya, ninawaswas nawewe
Kuipenda NyiNyiemu yataka moyoMmeshindwa kutangaza sera kwa kusubiri kipanya na mange!