Jamani mwacheni Trump ainyooshe dunia!
. Lakin radio za wazee kama nyie sizipo uwe unasikiliza radio za wazee mfano Tbc FM tatizo nyie wazee mnalazimisha Ujana.Leo nimekereka sana. Katika kipindi cha Power Breakfast wamemualika mtaalamu aliyekuwa anaelezea kitabu chake kinachohusu mambo ya Ufahamu wa binadamu, Masudi Kipanya anaongea sana, Hamuachii mgeni(mtaalamu) aelezee issue kiunagaubaga. Anamuuliza swali mtaalamu akianza kutiririka anamkatiza. Kwa wageni wengi hapo PB anawafanyia hivyo lakini leo amezidi sana. Hii kujifanya ujuaji inamuharibia sana, ajifunze kuuliza swali na kusubiri jibu ikiwezekana huyo KP wamuandalie maswali. Tunakuomba Babra ambaye ndio msimamizi wa kipindi hiki(ingawa leo haupo kwenye kipindi) mfunze KP kukaa kimya baada ya kuuliza swali.
Leo nimekereka sana. Katika kipindi cha Power Breakfast wamemualika mtaalamu aliyekuwa anaelezea kitabu chake kinachohusu mambo ya Ufahamu wa binadamu, Masudi Kipanya anaongea sana, Hamuachii mgeni(mtaalamu) aelezee issue kiunagaubaga. Anamuuliza swali mtaalamu akianza kutiririka anamkatiza. Kwa wageni wengi hapo PB anawafanyia hivyo lakini leo amezidi sana. Hii kujifanya ujuaji inamuharibia sana, ajifunze kuuliza swali na kusubiri jibu ikiwezekana huyo KP wamuandalie maswali. Tunakuomba Babra ambaye ndio msimamizi wa kipindi hiki(ingawa leo haupo kwenye kipindi) mfunze KP kukaa kimya baada ya kuuliza swali.
Babra yupo humu? ?
Nimependa Comment yako, watu wana mahaba na vitu hata vikikosewa wao wanaamin na kuona n sawa tu.umeongea jambo la msingi lakini nimesoma comments za watu nikashangaa na kugundua umeongea jambo ambalo uelewa wa members wengi kwao ni zito. wao wameelekea mbali ambako sidhani kama ndiko ulikokuwa unataka waelekee. wameleta mahaba na hawajaweza kufikiria logically au reasonably. pole sana JF kuna vitoto vya form four ving sana kwa sasa vinasubiri matokeo na vingine vili fail.so unapoandika kitu ambacho kinatumia tu common sense wao wanakifanya kama ni kitu kikuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa sana. so tegemea majibu ya kipuuzi toka kwao.
Hii ndio changamoto hasa humu JF siku hizi, watu wamejawa na mihemko tu. Ukikosoa unaonekana adui.wameleta mahaba na hawajaweza kufikiria logically au reasonably.