Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Huyo mwenye kisu ni Dr Slaa, yuko pembeni anaangalia mpambano akiwa upande wa John.

Ikionekana John anazidiwa ataingia ulingoni na kisu kwenda kumsaidia
Je aliingilia huo mchezo?
 
Hakuingilia navyoona labda ma mvi alishtuka tuu. Aisee hii picha tafakuri yake yahitaji upembuzi yakinifu
 
Wengi wenu humu hamtunzi kumbukumbu, hyo katuni ilichorwa mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu, wakati kampeni zikiendelea, ndipo kipindi Dr. Slaa akaitisha mkutano na waandishi wa habari na kumkaanga Lowassa na mchakato mzima wa kumpokea.
Kwa tafakuri ya kipanya inaonekana kipindi hicho cha kampeni Lowassa alikuwa amemzidi mbali sana Dr Magufuli kabla Dr Slaa (silaha) ajafanya mkutano na kumwaga sumu. ikampa power magufuli ya kumdhibiti lowassa..........
 
Kweli, halafu angalia rangi ya soksi ya Dr, Slaa. Ameficha U CCM.
 
Wengi wenu humu hamtunzi kumbukumbu, hyo katuni ilichorwa mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu, wakati kampeni zikiendelea, ndipo kipindi Dr. Slaa akaitisha mkutano na waandishi wa habari na kumkaanga Lowassa na mchakato mzima wa kumpokea.
Kwa tafakuri ya kipanya inaonekana kipindi hicho cha kampeni Lowassa alikuwa amemzidi mbali sana Dr Magufuli kabla Dr Slaa (silaha) ajafanya mkutano na kumwaga sumu. ikampa power magufuli ya kumdhibiti lowassa..........
Ni kweli kabisa 2015
 
81887cb2b0a14d216eae816c981316f3.jpg
 
baadaye wooote anayesema kuja na matatu shimoni
 
Back
Top Bottom