Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
Mmh!Tayari DAB kashafanya yake kama yule mwandishi wa Mwananchi
Mmh!Tayari DAB kashafanya yake kama yule mwandishi wa Mwananchi
Wewe unaonaje?nikwel katoweka au watu wanapenda kukuza kuanza kutoa kik zisizo na mashiko
Nadhani hii ndio taarifa sahihi siyo ile tuliyoambiwa imetoka kwa mwajiri wake. Mwajiri anasema ni uzushi lakini ukimsoma Kipanya ni kama anamshukuru " mzushi" kiaina. Na hapa ndipo nimepata majibu ya swali langu, ahsanteni!
Kwani alikuaga?!!Namuombea kwa mungu huko aliko arudi salama
Kasharudi ndo natoka kumuonaNamuombea kwa mungu huko aliko arudi salama
UKweli utaendelea kuwa ukweli tu. PIga Hao.Ule uzi kuhusu kukamatwa kwa Masoud umefutwa na Mods..nini maana yake?...hajakamatwa?, au ameachiwa?...nchi hii bhana aaah..
Ndugu wanajukwaa.,
Vyombo mbalimbali vya habari leo tarehe 02/01/2018 nimesikia vikiripoti kuhusu kutoweka kwa mwanakatuni maarufu, GT mwenzetu Masoud Kipanya, naomba anayejua lolote kuhusu habari hizo atujuze, maana ...
Nipo vijijini sana, net huwa inasumbuaUpo nchi gani mkuu?
maana nilisikia Mambosasa akikana kumshikilia, sasa alikuwa kituo ganiAmeshaachiwa
hakuwa amekamatwa?yupo free hajapelekwa popote......
hakuwa amekamatwa?
Ahsante ndg,Mkuu pitia huu uzi Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA' utapata mbili tatu.
Nipo vijijini sana, net huwa inasumbua
Maana nikiwakumbuka kina Saa 8 na juzijuzi ndg Azory sipati amani moyoni nikisikia mtu "amepotea"Haaaaaaa haaaaa... polee..!! Alipotea bana, ila amepatikana, si unajua siku hizi jiji la Dar limekuwa kubwa sana..!!