Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Hilo ni tatizo la watangazaji wengi wa habari wa kitanzania, kujifanya wanajua kila kitu huku shule hawakwenda.
Vituo vya redio vingi ukitoa vya serikali watangazaji wake hawana shule kabisa, wao wanasema wanaangalia kipaji, hawajui kua utangazaji ni taaluma.