Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,710
maana nilisikia Mambosasa akikana kumshikilia, sasa alikuwa kituo gani
Alipotea bana.. ndio hivyo, ila alipatikana ucku, sijui alikosea njia au nn? Jiji la Dar kubwa sana siku hizi.. Kuna wale watu pia wanatumia nguvu za giza, wakikuongelesha au ukakubali kuwapa mkono utawafuata hadi vichochoroni wanakuibia kila kitu..