[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ungemuongezea na maji yetu sahizi huku tunakunywa ya rangi ya udongo maji safi na salama[emoji28][emoji28][emoji28]jua kali kweli kweli ! tunakunywa maji ya malambo tu
Tuliza akili mkuu utamuelewa tu ki[emoji193]Dadeki cjaelewa
Very brave. Nimependa sana hiyo industrialization vs power cuts
hahhaa na hatuugui[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ungemuongezea na maji yetu sahizi huku tunakunywa ya rangi ya udongo maji safi na salama[emoji28][emoji28][emoji28]
Na tukiugua babu wa Loliondo yupo kwa msaada zaidi...hahhaa na hatuugui
Asante mkuu kwa kuwa mkweli maana hapa kila mtu kaelewa lake na anashangilia hivyo hivyo.Nimetoka kapa
Na ndio maana ya sanaa.....ila kunakuwa na ujumbe wa jumlaAsante mkuu kwa kuwa mkweli maana hapa kila mtu kaelewa lake na anashangilia hivyo hivyo.
ahhaahhah umenenaNa tukiugua babu wa Loliondo yupo kwa msaada zaidi...
Hizi teminology zako usiwe unazitumia hapa bhana, unatukumbusha usukumani.jua kali kweli kweli ! tunakunywa maji ya malambo tu
teh!nenda ukajikumbushie kiasiHizi teminology zako usiwe unazitumia hapa bhana, unatukumbusha usukumani.
Serikali ilituahidi "msosi" tukavutiwa na jina la "msosi" lilikuwa jina zuri sana... sasa tulicholetewa ndo hicho unachokiona kwenye sahani hakifanani na jina la msosi....Anamaanisha nini masoud ?
Ujue hayo malambo mi nimeogelea sana nikiwa nachunga, ulivotaja tu moyo ukafanya Paaaaaa!! Acha tu yaniteh!nenda ukajikumbushie kiasi
Maneno meeengi ya vi-wonder kwenye presentation ya hiyo vi wonder (kwenye sahani) ndio kiduuuch halafu waiter ndio anamalizia baada ya yote haya na kuna powercut[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
haahhaah kama nakuona napiga miluzi kurudisha ng'ombeUjue hayo malambo mi nimeogelea sana nikiwa nachunga, ulivotaja tu moyo ukafanya Paaaaaa!! Acha tu yani