Masudi kafikiria kiasi,kuna overpass moja Japan imepita ndani ya jengo la ghorofa kadhaa Ila walitumia only one floor ni kwasababu landlord alikataa kuuza jengo lake. ..akawaruhusu iyo floor moja!!
kutembea kunasaidia sana kuongeza iq sasa sijonze bado hajaona nchi za watu yeye atabomoa tuuMainjinia wanauchapa usingizi fofofo!
Sidhani kama pale patahitaji kona kali.Yaani ktkt ya mji uruhusu kona kali na mlima mkali kwanini?
Bomoa Jengo muda mfupi tutasahau
Ni kijipande cha Manispaa ya kigoma ujiji ndo kilikuwa kimebaki OGP, mwili mzima unaendesha mambo yake gizaniLeo kantoa kapa cjamuelewa kabisa,msaada kwa alielewa