Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 828
Hapana...non senseBajeti ya kujenga mnachotetea humu ni kubwa kuliko hilo jengo kubomolewa na kujengwa sehemu nyingine.
Suala sio ikate kona tu kulipisha jengo, kuna factors nyingi!!
Hapana...non senseBajeti ya kujenga mnachotetea humu ni kubwa kuliko hilo jengo kubomolewa na kujengwa sehemu nyingine.
Suala sio ikate kona tu kulipisha jengo, kuna factors nyingi!!
....No possibilities kwamba Tanesco wamepanga?Kama ni la TANESCO litakuwa mali ya Watanzania kwa maana ya shirika la umma
Ndio nini?Hapana...non sense
Umemiss maneno, "kuna factors zingine".Kukwepesha njia itakuwa gharama kuliko gharama ya jengo la tanesco?
kwani tatizo ni kusahau..!?Yaani ktkt ya mji uruhusu kona kali na mlima mkali kwanini?
Bomoa Jengo muda mfupi tutasahau


Napuuza wazo la lupita juu ni la kijinga kabisa
Hivi mbona Mwanza alisema wasivunjiwe kwakuwa walimpigia kura, kimara je.? Huu ubaguzi utatuacha salama? Natamani mwanajeshi mmoja mwenye akili kama za yule wazimbabwe angejitokeza, watanzania tungeponaNoma sana chizi kapewa rungu
....No possibilities kwamba Tanesco wamepanga?
Masoud angechora na kituo cha kushushia na kuchukulia hapo hapo kiitwe Tanesco Special kitakachorahisisha kufika kwa wateja kirahisi
Kama Magomeni sio katikati ya Jiji, vp Ubungo!Yaani ktkt ya mji uruhusu kona kali na mlima mkali kwanini?
Bomoa Jengo muda mfupi tutasahau