Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hapa naona kama kuna sehemu ya tumbo wanafanya mambo gizani ila ya serikali za mtaa wanatakiwa kufanya nuruni. Inamaana wao hawatakiwi kuonwa ila wengine lazima waonwe?View attachment 632843
Na mkusanyaji kodi ni huyo serikali za mtaa na mtumiaji mkubwa ni serikali kuu. Na hataki uwazi
Mbona manispaa ya Kigoma ujiji imeacha matak0 wazi tetetetetetete
 
Asipopewa onyo kwa hii katuni sijui.....ila nimecheka sana kwenye hako ka kivuli cha mat.ako😀😀😀
 
serikali imeitaka manispaa y Kigoma ujiji ijitoe ktk mradi w kujiendesha kiuwaz unaofadhiliw n UN huko, nahic kitu kama hiko
 
Nashauri baadhi ya wilaya za mkoa wa pwani zimegwe na kuunganishwa na mkoa wa Dar ili kupanua zaidi jiji
 
Kikawaida shetani hupendelea kufanya mambo yake gizani.
 
Hapa naona kama kuna sehemu ya tumbo wanafanya mambo gizani ila ya serikali za mtaa wanatakiwa kufanya nuruni. Inamaana wao hawatakiwi kuonwa ila wengine lazima waonwe?View attachment 632843
Na mkusanyaji kodi ni huyo serikali za mtaa na mtumiaji mkubwa ni serikali kuu. Na hataki uwazi
Umenena vyema kwenye tumbo hawataki kuonwa wapo gizani
 
Back
Top Bottom