Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Wale wale kina kubenea muda ukifika utawaona kugombea majimboni, time will tell.
 
Hii airport nayo kiboko
016947061c4b278aa3a3e75963a76d4c.jpg
 
Hapa naona kama kuna sehemu ya tumbo wanafanya mambo gizani ila ya serikali za mtaa wanatakiwa kufanya nuruni. Inamaana wao hawatakiwi kuonwa ila wengine lazima waonwe?
FB_IMG_1511002566172.jpg

Na mkusanyaji kodi ni huyo serikali za mtaa na mtumiaji mkubwa ni serikali kuu. Na hataki uwazi
 
Back
Top Bottom