Jamaa kafikisha ujumbe....magufuli aliwahi kusema kuwa huwa anasoma katuni zake alozochorwa na kichwa cha namba8...
So japo dawa ya kolokwini huwa ni chungu,ila ndo dawa...ishu ni jamaa apone...
Ubaya wake jpm anaona watanzania million 49,999,999 wote hawana akili njema..
Ila mtu mmoja tu ndye mwenye akili kuzd wote...
Hajui kuwa kuna wakina Chaurembo huku mitaani akili nyingi kuliko yeye....
Issue abadilike