Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,982
- 23,303
Usilolijua sawa na usiku wa giza! Hivi unaelewa "kujiuzuru" kwenye madaraka matamu ya kisiasa?Meck Sadik alikuwa na akili aliona mbali sana heri heshima kuliko fedheha,wanalinda tumbo wacha wadhalilishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua sawa na usiku wa giza! Hivi unaelewa "kujiuzuru" kwenye madaraka matamu ya kisiasa?
Mkuu, huwa 'zimetembea' sana kwanza simu za kumshinikiza mtu achukue uamuzi na si kwa hiari kirahisi namna hiyo kama unavyodhania.
Huyo mzee aliwajibishwa ama kama mnavopenda kusema siku hizi, alitumbuliwa.
Fuatilia kwa kina utapata uthibitisbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna habari ya uchama hapa..tunajua Kipanya ni mwanachama hai wa chama kile,hata kadi yake inajulikana
Unakisia....tunajua Kipanya ni mwanachama hai wa chama kile,hata kadi yake inajulikana
hahahaahha, alivyopewa cheo cha mkuu wa mkoa wa Shinyanga, akakitumikia kwa siku 22 tu. hahahahaahhaAna kilango malecela ndiyo anamfahamu vizuri sana jiwe kuliko mtu yeyote yule hapa Tanzania
we kijana upo mirembe? ningekua karibu ningekupa banzi hadi akili ikukae sawakwani alichosema ni ukweli,kwa miaka mitatu rais katoa 1.2 trilioni kwnda mifuko ya hifadhi halafu huyu jamaa anakuja na katuni zake ovyo ovyo
Safii..Imerudi