Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

hili hata mtoto wa chekechea anajua kawageuka huku aliwatuma yeye! yaan huyu mzee akikuteua jua atakutumia atakavyo akikosea hesabu zake ww ndio kafara
Wateule wake inabidi wawe makini sana,muda wowote anaweza kukutumia kama daraja,yeye akapanda na wewe ukashuka na kupoteza thamani.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…