unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Hiloo just hiloo....Lijinga ni weye na shangazi zako wenye kutafsiri vitu mnavyojisikia utadhani mnaishi peke yenu duniani.Mkome kushabikia upumbavu.
Acha mibange hiyo.Sasa umeamua ulainishe hasira kwa kuzomea?Hahahahaaaa! Merde!Hiloo just hiloo....
Umejuaje kama anaongelea Magufuli?Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Ha haa fa.la ww toka..Acha mibange hiyo.Sasa umeamua ulainishe hasira kwa kuzomea?Hahahahaaaa! Merde!
Tafsiri muruaa hii pokea like mkuuHata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Wewe ndo Musiba!??,umeshapona kichaa chako!Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Wapumbavu hawaishi kuzaliwa kwani kwa takwimu zisizo za kidunia, kila wanaume mia moja wanaozaliwa Tanzania, 99 ni wapumbavu waliopitiliza! Haiyumkiniki wewe mleta hoja upo kundi hilo! Ningekufundisha somo la perception lakini hutoweza kulielewa kwa akili kiduchu uliyokuwa nayo! Nakushauri urudi shule ukajifunze ama namna ya kureason au kujipendekeza kwasababu lugha ya picha ambayo huanza kufundishwa darasa la kwanza ulimwaibisha mwalimu wako! Kwa taarifa mchonganishi ni wewe na huenda una bifu la kipuuzi au wivu wa kipumbavu na Kipanya! Na hii ndiyo sababu kuu ya mkulu kuwateua wapinzani kwenye nafasi za juu na kuiacha sampuli ya kwako ikidanga na kupiga miayo! Mtashindia sana bigG hapo lumumba!Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Mzee Kipanya anachora katuni za kisiasa, na mtu ambaye ananukuliwa akisema tupo vizuri kila siku ni Magufuli
Umesema kweli mwingine anaweza tafsiri hiyo picha kuwa "hayo yalikuwa mashindano ya kuogelea mshindi ameinua mkono kuwapasha wenziwe kuwa ameshinda"!!!
Wapumbavu hawaishi kuzaliwa kwani kwa takwimu zisizo za kidunia, kila wanaume mia moja wanaozaliwa Tanzania, 99 ni wapumbavu waliopitiliza! Haiyumkiniki wewe mleta hoja upo kundi hilo! Ningekufundisha somo la perception lakini hutoweza kulielewa kwa akili kiduchu uliyokuwa nayo! Nakushauri urudi shule ukajifunze ama namna ya kureason au kujipendekeza kwasababu lugha ya picha ambayo huanza kufundishwa darasa la kwanza ulimwaibisha mwalimu wako! Kwa taarifa mchonganishi ni wewe na huenda una bifu la kipuuzi au wivu wa kipumbavu na Kipanya! Na hii ndiyo sababu kuu ya mkulu kuwateua wapinzani kwenye nafasi za juu na kuiacha sampuli ya kwako ikidanga na kupiga miayo! Mtashindia sana bigG hapo lumumba!
Kwani Magufuli anasema tuko vizuri kwenye nini!!?? tieleze tulinganishe na picha....Una matatizo ya negativity kichwani mwako punguza hisia hasi life is too short. Vtu vingine ignore tu.