Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Anamaanisha huyo MUSIBA haropokwi bure..... Lazima kuna back up anayo! Hawezi kuropoka kule anakotopoka na bado yupo tu anadunda!
Mkuu siyo kila kitu unawafafanulia watu, vitu vingine unapiga kimya tu, unawaacha wachangamshe "bongo lala" zao, na hiyo ndiyo inaleta utamu wa kujadili hoja. Sasa hapa umeshaharibu kila kitu.
 
Masoud nadhani ni politics cartoonist wakati james ni story catoonist, wana tofauti. Ila story za gayo zinakuaga umenunua gazeti asubuhi ila unakuja kuelewa story jioni. Kama assignment vile.
Hapana, hata Gayo huchora Katuni fikirishi za kisiasa, kuna yale Magazeti (Magazine) ya Kingo, hutolewa kama free copies kama sikosei...ameshawachora sana kina E.L, Mstaafu Mzee Ben n.k.
 
Gayo haweki hata dot/nukta hangaisha akili yako mwenyewe tu
kingo.jpg
 
Kwa maoni yangu kama KP ni Umishumita basi gayo ni Premier League, ingawa wote wapo vizuri
 
Anamaanisha huyo MUSIBA haropokwi bure..... Lazima kuna back up anayo! Hawezi kuropoka kule anakotopoka na bado yupo tu anadunda!
Walio muiga leo wapo mahakamani na mchezo mchezo mtu atanyea ndoo segerea sasa hivi huku mwenzake akipeta kitaa
 
Mkuu siyo kila kitu unawafafanulia watu, vitu vingine unapiga kimya tu, unawaacha wachangamshe "bongo lala" zao, na hiyo ndiyo inaleta utamu wa kujadili hoja. Sasa hapa umeshaharibu kila kitu.
Duuh! wewe mtanzania una uchoyo mpaka kwenye kufafanua fumbo lina maana gani?

Sasa kama ukipiga kimya utamsaidiaje mtu anayetaka kujua?
 
Back
Top Bottom