Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,740
akili za kalkamakenda amekataa kwenda shuleKp kama una akili za esopo huwezi muelewa asee,.
Kiukweli hiyo ya kufatilia waya ata mm nimetoka mweupe sio viongozi tu.Na hiki ndio kinamfanyaga awe salama siku zote,ni mpaka mtu awe na akili ya ziada kumuelewa,viongozi wetu wengi kichwani weupe
Gayo ni Namba nyingine aiseeHamzidi yule wa Kingo bwana James Gayo kama sijakosea.
Anamaanisha huyo MUSIBA haropokwi bure..... Lazima kuna back up anayo! Hawezi kuropoka kule anakotopoka na bado yupo tu anadunda!Kiukweli hiyo ya kufatilia waya ata mm nimetoka mweupe sio viongozi tu.
Mkuuu nishawaza kama ww ila bado kichwa kitupu.Anamaanisha huyo MUSIBA haropokwi bure..... Lazima kuna back up anayo! Hawezi kuropoka kule anakotopoka na bado yupo tu anadunda!
Masoud nadhani ni politics cartoonist wakati james ni story catoonist, wana tofauti. Ila story za gayo zinakuaga umenunua gazeti asubuhi ila unakuja kuelewa story jioni. Kama assignment vile.Gayo ni Namba nyingine aisee
Na hiki ndio kinamfanyaga awe salama siku zote,ni mpaka mtu awe na akili ya ziada kumuelewa,viongozi wetu wengi kichwani weupe
Katika katuni naipenda ni Ile, alimchora Mbowe ameng'ang'ania Kiti
Gayo ni Namba nyingine aisee