Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,818
Ha ha kweli mkuu, yaan yeye ni kama sipika tu inayozungumza bt muongeaji haonekan hadharaniAnamaana musiba sio kichaa ila ni spika ya mtu fulani.kwahiyo kitaalamu zaidi fuatilia waya kumkuta alie na microphone ya spika
Ninazo hapa mkuu,
Karibu sana.
shukran mkuu, wenye jamii yao nao wanawasiliHyu kp akili kubwa sanaFuatilia mto utokako utakutana na chemchem
Bila shaka ban imeshakuhusu tayarAisee!
Nimewahi seat tu.
Kwanini mkuu?Bila shaka ban imeshakuhusu tayar
kichwa kilicho lala karibu na jiwe kiko hatarini kufyekelewa mbali