Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Ukisema tu nawahi seat unapigwa banKwanini mkuu?
Kamobitelkichwa kilicho lala karibu na jiwe kiko hatarini kufyekelewa mbali
mnapotofautiana kimawazo,kimaslahi na pengine kiitikadi lazima mmoja aghairi safari sasa ni bora ughairi kwa hiari yako kuliko kughairishiwa aka kufyekelewa mbaliKamobitel
Utakua ulipigwa ban kwa issue nyingine tu.Ukisema tu nawahi seat unapigwa ban
Me juzi walinidaka aisee,labda wanaubaguzi ngoja nijaribu kueport comment yako nione kama watachukua action
Waya unaweza ukawa unatokea magogoni huoNa haya yanayo endelea ndio Waya wenyewe mpaka tumjue Mtoa Sauti ..🙄
Utakua ulipigwa ban kwa issue nyingine tu.
Defamation not deformationnaona harufu ya deformation act-2019
Kwahiyo umekula ban kwa kuwa unawahi sit ya mbele
Ndio mzeeKwahiyo umekula ban kwa kuwa unawahi sit ya mbele
Hahahaa! Hii mbona haipo kwenye aheria zao?
huyu nadhani ni Bash Boy na baabake kuhusu drama yake ya kutaka kufunua mari-nda ya watu hadharani!!Kwa mwenye akili huu ujumbe wa msanii nguuri wa kuelimisha umma kupitia katuni bila shaka ataelewa sasa wapi tunaelekea!View attachment 919046
anaogopa kutekwa