Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kama kweli hawajui
Katika maelezo yote ya kutekwa Mo sijasikia sehemu kwamba walimfunika macho.
Kimsingi alikuwa anaona kila kilichokuwa kinafanyika .
Na lazima anafahamu alipopelekwa,
anazingua tu huyo Mo, kimsingi nimemdiscredit sana nilikuwa mpenzi sana wa bidhaa zake .
Ila Kwa sasa sintonunua bidhaa yeyote ya Mo nimemuona jamaa ni mnafki au muongo kupita kiasi
 
Hahahah pengine kachanganyikiwa! Ile gari imesajiliwa Msumbiji,iliingia nchini kupitia mpaka wa Kenya. Dereva inasemekana ni mnaijeria anaitwa Obassanjo,watekaji walikuwa wanaongea lugha ya kusini mwa Africa ila ni wazungu wawili! Mateka mwenyewe ni Muhindi! Hapo we umeelewa kweli? Mo mwenyewe haelewi!
Hahahahah
 
Akili imeganda kama maziwa mgando.
Huyu Mo ni mwehu tu, kwenye hii ishu nimemdharau sana pamoja na utajiri wake.
Kiukweli anaoneka mpumbavu sana kwenye jamii.
Hapa mtaani ninapoishi watu hawanunui tena bidhaa zake.
Nashauri watanzania wote wazalendo tunaotaka hao wasiojulikana awataje tugomee kununua bidhaa zake.
Nashauri ianzishwe kampeni ya kugomea bidhaa za Mo Tanzania nzima hadi hapo atakapowataja waliomteka
 
kp24102018.jpg

Taja reasons za kugomea sio unasema tugome tu bila sababu
 
Huyu Mo ni mwehu tu, kwenye hii ishu nimemdharau sana pamoja na utajiri wake.
Kiukweli anaoneka mpumbavu sana kwenye jamii.
Hapa mtaani ninapoishi watu hawanunui tena bidhaa zake.
Nashauri watanzania wote wazalendo tunaotaka hao wasiojulikana awataje tugomee kununua bidhaa zake.
Nashauri ianzishwe kampeni ya kugomea bidhaa za Mo Tanzania nzima hadi hapo atakapowataja waliomteka
Yaani Nyie wapuuzi kweli.Unakijua kitu kinaitwa YARABI NAFSI??.Ataje Ili iweje.Akisema mtu aliye tayari kujitokeza afe badala yake ili aseme alikokuwa,Utakuwa tayari?,hiyo ndiyo inaitwa Yarabi nafsi yangu.Sema uone kama hujatolewa roho.Kula ugali wako,kakojoe ukalale.
 
Mpuudhi mwenyewe , sasa kama ni suala lake binafsi mbona ndugu zake walilialia jamii iwasaidie kumpata ndugu Yao, Acha usenge we **** nadhani utakuwa unafirwa na akina aijipii zero
 
Katika maelezo yote ya kutekwa Mo sijasikia sehemu kwamba walimfunika macho.
Kimsingi alikuwa anaona kila kilichokuwa kinafanyika .
Na lazima anafahamu alipopelekwa,
anazingua tu huyo Mo, kimsingi nimemdiscredit sana nilikuwa mpenzi sana wa bidhaa zake .
Ila Kwa sasa sintonunua bidhaa yeyote ya Mo nimemuona jamaa ni mnafki au muongo kupita kiasi
Naona wakitelekezwa hawawataji watekaji Mfano. Roma mkatoriki naye mpaka leo hajawataja. Yule dogo wa UDSM vile vile, sijui wanatishwa na kitu gani kiasi kwamba wanashindwa kutusimulia
 
Back
Top Bottom