Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,090
- 2,141
kwani asiposema ndo hatakufaYaani Nyie wapuuzi kweli.Unakijua kitu kinaitwa YARABI NAFSI??.Ataje Ili iweje.Akisema mtu aliye tayari kujitokeza afe badala yake ili aseme alikokuwa,Utakuwa tayari?,hiyo ndiyo inaitwa Yarabi nafsi yangu.Sema uone kama hujatolewa roho.Kula ugali wako,kakojoe ukalale.
