Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

DqQ_yF9WoAAB4lO.jpg
 
Ambae hajaelewa alete vyeti vya kuzaliwa vya babu na bibi zake wa pande zote mbili
 
Hivi KP anafanya kazi pekee au ana watalaam wengine anao saidiana nao kufikiria mambo?
 
Huyu Mo ni mwehu tu, kwenye hii ishu nimemdharau sana pamoja na utajiri wake.
Kiukweli anaoneka mpumbavu sana kwenye jamii.
Hapa mtaani ninapoishi watu hawanunui tena bidhaa zake.
Nashauri watanzania wote wazalendo tunaotaka hao wasiojulikana awataje tugomee kununua bidhaa zake.
Nashauri ianzishwe kampeni ya kugomea bidhaa za Mo Tanzania nzima hadi hapo atakapowataja waliomteka
 
Kama kweli hawajui
 
Back
Top Bottom