Legacy ya mzee Ruksa si ilikuwa kila kitu ruksa?Swali zuri
Na siku ikifika nikimkuta polisi mmoja wa bongo yupo peponi nitaandamana sana na kubeba bango kubwa kupinga hiyo injusticeHata unipe mshahara wa millioni 10 au 15, siwezi kufanya kazi kama hio, kuonea watu na kudhulumu kwa rushwa watu manina
Doooh!! Bado Tunakuhitaji mkuu![]()
Teh Teh Teh Mimi Nitamtakia Kila la Kheri Tu Ndugu YanguUngana na Mbao za Mawe ili mtekwe halafu mtuletee mrejesho mkirudi😂
Kuna watu wanasema Roma hakuongea kitu, utafikiri hata angeongea hicho wanachotaka kusikia wangemsaidia kwa chochote, wengi wanaopenda kusikia wanachotaka kusikia kutoka kwa watekwaji ni kwa ajili ya umbea tu na sio kusaidia kukomesha hii tabia, mfano Mo akikwambia alitekwa na Bashite wewe utafanya nini zaidi ya kuwa mmbea tu?! Watanzania sisi ni wanafki sana, Mo katekwa lakini siku 8 hakuna hata aliyesimama barabarani na bango lake kushinikiza serikali imtafute kwa udi na uvumba, wote tuliendelea na maisha yetu huku tukila milo mitatu kwa siku, au unalikuta lijitu linakula minofu ya kuku bar afu linakwambia limesikitishwa na kutekwa kwa Mo!!
Kwa sababu ni maigizo tu nani apoteze muda wake?Kuna watu wanasema Roma hakuongea kitu, utafikiri hata angeongea hicho wanachotaka kusikia wangemsaidia kwa chochote, wengi wanaopenda kusikia wanachotaka kusikia kutoka kwa watekwaji ni kwa ajili ya umbea tu na sio kusaidia kukomesha hii tabia, mfano Mo akikwambia alitekwa na Bashite wewe utafanya nini zaidi ya kuwa mmbea tu?! Watanzania sisi ni wanafki sana, Mo katekwa lakini siku 8 hakuna hata aliyesimama barabarani na bango lake kushinikiza serikali imtafute kwa udi na uvumba, wote tuliendelea na maisha yetu huku tukila milo mitatu kwa siku, au unalikuta lijitu linakula minofu ya kuku bar afu linakwambia limesikitishwa na kutekwa kwa Mo!!
😂😂😂😂Teh Teh Teh Mimi Nitamtakia Kila la Kheri Tu Ndugu Yangu
Utaongea nn wakati umepigwa picha unachezea nanii,halafu upo uchi,hadi unakufa unabaki nalo tuView attachment 907343
Mfano Roma Mkatoliki na sasa Mo kunani huko mateka?
Na polisi kwanini wanazuia wasiongee kama sio wahusika na hao wasiojulikana mpka leo hakuna waliokamatwa?
kumbuka wananchi wa kawaida wanahusika kwa namna moja au nyengine maana na wao ndo wanaokaa wakaomba kwamba alietekwa au kupotea apatikaneKuna watu wanasema Roma hakuongea kitu, utafikiri hata angeongea hicho wanachotaka kusikia wangemsaidia kwa chochote, wengi wanaopenda kusikia wanachotaka kusikia kutoka kwa watekwaji ni kwa ajili ya umbea tu na sio kusaidia kukomesha hii tabia, mfano Mo akikwambia alitekwa na Bashite wewe utafanya nini zaidi ya kuwa mmbea tu?! Watanzania sisi ni wanafki sana, Mo katekwa lakini siku 8 hakuna hata aliyesimama barabarani na bango lake kushinikiza serikali imtafute kwa udi na uvumba, wote tuliendelea na maisha yetu huku tukila milo mitatu kwa siku, au unalikuta lijitu linakula minofu ya kuku bar afu linakwambia limesikitishwa na kutekwa kwa Mo!!
We umeelewa mkuu mi naona kama kale katoto ka chekechea kanachojifunza kuandika ndio huwa wanamiandiko hii
CQ but 3