thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,114
"mlkmbwende"?,swineTulia wewee mlkmbwende
"mlkmbwende"?,swineTulia wewee mlkmbwende
Kaka niwieradhi unaweza niruhusu nikujambie kinywani mwako mbrrrrrrr mbrrrrrr mbrrrrr mbrrrrrrrr😂😂😆😎😎mbrrrrr"mlkmbwende"?,swine
Saana yaani ila kwetu huku thamani ya vipaji hakuna ndio maana unaona hata wanamziki wanakuwa wanaishia kufa na madawa ya kulevya wakiwa maskini hata hela ya matibabu mpaka kuchangiwaKwa usanii wa kipanya ingekuw mbele huko kwa trump angekuwa na mahela kibao Mo mchumba yan
Ila ndio hvyo bongo Nyoso
...huyo afande anafanana kweli na mzee wa kipigo cha mbwa kokoMbona kama afande Mroto?
Doooh!! Bado Tunakuhitaji mkuu😂😂Ajitolee mtu mmoja atekwe kisha akirudi aongee tujue kunani huko!
#Nitumeni mimi
HahahahTunaongozwa na maskini wa roho kwenye kipindi chake tusitegemee mema
Ungana na Mbao za Mawe ili mtekwe halafu mtuletee mrejesho mkirudi😂Inabidi Tumtume Mtu Aende Kujua Kuna nini Huko?
Hebu fafanua huo msamiati "kunanihii"Labda wanawananihii,sijui wanawananihii kwa style gani? I don't want to imagine
Salary Slip amejitolea japo anasita.Ajitolee mtu mmoja atekwe kisha akirudi aongee tujue kunani huko!
#Nitumeni mimi
