Hahaha hahahaha
Isingekuwa kijani IGP angeona

una akili kubwa sana wewe.Tumia tu kiswahili, tarented ndo nini?Kweli ni kisanga....
#masoud yupo tarented sana yule jamaa
Katuni ni ya tarehe 15,though inapotray situation ya leo pia
Wanatuona watanzania ni vilaza kweli kweli, na kwamba hatuna kabisa uelewa wa CCTV camera. Wanaishia kuumbukaSiro kaumbuliwa na teknolojia.
CCTV camera zimezua balaa
Nitumie katuni zake zoote ulizonazo kwenye gallery yakoKumbe ww haumfuatiliag kipanya ,, katuni hata ikitoka leo haiwez kuwa na tareh ya leo tarehe anaweka tofaut
Wivu wa kichawi.Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Itakua KubeneaKubenea au Komu?
Ziko wapi katuni ulizochora wewe zenye akili?Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Miccm bwana!!!Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Kuna wengi wamefanya / wanafanya mambo makubwa lkn darasani hakuwa hata kwenye top 20.Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Alafu kesho utasikia hakuna uhuru sijui fyoko fyoko sijui ninihahahaha mambo ya uhuru wa habari na demokrasia hayo.