Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Una matatizo gani wewe...mbona unakimbiakimbia ovyo? Muache Ki-panya atumie talent yake kuelimisha na kuburudisha...Kwani wewe uliyekuwa una akili sana darasani una effect gani kwa taifa muda huu??Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Umeandika nini we jamaa,yaani mi jitu iliyokuwa na uwezo wa kukariri bila kutafakari utaijua tu.Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Angekuw kipanga asingekuwa anatangaza kwenye tv ya hovyo kama clouds. Angekuwa lecturer somewhereMkuu acha urongo hata mimi nimesoma nae olevel alikuwa kipanga hatari, acha wivu wa kike!
Angekuw kipanga asingekuwa anatangaza kwenye tv ya hovyo kama clouds. Angekuwa lecturer somewhere
Wewe vipi,maana mmesoma shule moja.Nadhani ni Negative 100 brainHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Ugeneous haupimwi kwa good performance ya kumezeshwa darasani wewe hapo ambae ulikuwa sio kilaza una kipi kikubwa kumshinda KPHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Angekuw kipanga asingekuwa anatangaza kwenye tv ya hovyo kama clouds. Angekuwa lecturer somewhere
Kakuzidi kwa kila kituHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
We kweli ni mpenda kukimbikimbia.Hata Albert eistein darasan alikuwa mtupu.Lakn alikuja kuwa great scientist darasan uwa wanafaulu wenye uwezo wa kukalili tu.Na sio wote wanao feli hawana akili wengine hawataki kukalili ndio maana wanafeliHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Duh! Wewe ndiyo zoba wakutupwa inaelekea kichwa chako ni chakufugia nywele tu.Ana dive hukametanguliza kichwa chini, kuzamia kichwa kichwa ndiko huku,hajui huko chini atakutana na jabali la namna gani,mara Pah! Ubongo nje!
Big pole kwako! Hebu tumjadili kwenye fani yake ambayo hata hiyo shule haikumsaidia kufikia hapo alipo tusijadili alikuwa nani kwa masomo ya jumla baadae utuoneshe huo uziro wake kwenye sanaa yakeHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
KP itakuwa kadangua muke ya jamaa kwa chuki hzWeka uthibitisho kua KP n bonge la kilaza na wewe sio kilaza
Jamaa wewe ni Bogus sijawahii Onaa...!! haa ha ha...Akili zako kiuwezo humfiki hata Robo kipanyaa hicho ni kipajii uachee wivu wa kimamaaHapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.