Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kusiko julikana.. lakini tunaona mwelekeo kwenda huko kusiko julikana... Tena penye mwangaza unaofanya paonekane na pajulikane
 
Huyu jamaa ni noma aiseee
FB_IMG_15399321684341573.jpeg
 
Ana dive hukametanguliza kichwa chini, kuzamia kichwa kichwa ndiko huku,hajui huko chini atakutana na jabali la namna gani,mara Pah! Ubongo nje!
 
Hapo unaweza shangaa hata kipanya mwenyewe hajui alichotaka kuportray. Amejikuta tu anachora. Msimkuze sana kana kwamba ana akili. Huyo ni zero brain nimesoma naye o level ni bonge la kilaza.
 
Back
Top Bottom