Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Huyu si mambosasa? Hili domo linafanana na domo lake.[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 899490
Huyu si mambosasa? Hili domo linafanana na domo lake.[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 899490
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu si mambosasa? Hili domo linafanana na domo lake.
Huyu jamaa anang'ata nakupuliza,leo anaisema vzr govt,kesho anaichana[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 899490
Sijakuelewa mkuu!.... Leo kaisema vizuri kivipi?Huyu jamaa anang'ata nakupuliza,leo anaisema vzr govt,kesho anaichana
Huyu jamaa anang'ata nakupuliza,leo anaisema vzr govt,kesho anaichana
Huyo ni mambosasaMacho ya jeshi yamefunikwa na kipaa cha kofia rangi kijani. Nimejaribu tu.......
Hujanielewa mkuu,I mini samutaimu anaisema vzr govt,samutaimu anaikosoaSijakuelewa mkuu!.... Leo kaisema vizuri kivipi?
Hii ni kuonyesha hashabikii popoteHuyu jamaa anang'ata nakupuliza,leo anaisema vzr govt,kesho anaichana
Anafanya kazi yakeHii ni kuonyesha hashabikii popote
kijana anastahili awe kagoshekiedi[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 899490
Anafanana na bosi mstaafu Wa Polisi aliyempa ujauzito beki tatu wake[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 899490
unayo akili ya kutosha, tumewaza sawaMacho ya jeshi yamefunikwa na kipaa cha kofia rangi kijani. Nimejaribu tu.......