DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,214
- 704
laiti ungejua ishu iliyosukwa hapo.......
ila magufuli anaschukua nchi
Mkuu kuna nn hapo? Hapa kwa "pm"
#HapaKaziTu#
laiti ungejua ishu iliyosukwa hapo.......
ila magufuli anaschukua nchi
Nini kimemrudisha dar?Si alikuwa nakwenda fungia mwanza kwa madai yake ya kikabila na kikanda?Kogopa hata hicho kidogo Wenje na Lembeli watakimaliza.Kaingia dar tuu na kuwakumbusha wana kigamboni kauli yake KUWA WAPIGE MBIZI..
'kahamua' ndio nini!baada ya kukosa watu kwenye uwanja wa mbezi mwisho kahamua kusimama barabarani na kumwaga sera
Huyo si presidential material bali ni bodyguard material
Kama mtu huumkubali,usimzomee,hii ndio inafanya wa chama fulani sio wastaarabu,mbona wafuasi wa CCM,hawawazomei,wasiowakubali katika wagombea?AMANI kwanza,mengine baadaye.Unajua maana ya ustaarabu wewee??
Hebu kakojoe ulale huko.
Kina mama tumieni kura zenu kwa CCM,imewathamini,kuwaekea mwanamke mwenzenu,kuwa makamo wa Rais.Watajibeba mwaka huu. Hapa Kazi Tu. porojo peleka UKAWA
Kina mama tumieni kura zenu kwa CCM,imewathamini,kuwaekea mwanamke mwenzenu,kuwa makamo wa Rais.