Kevoo_keroo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 771
- 163
ufisadi ni tatizo nchini na watanzania wanataka mtu anakayewahakikishiua atapambana na ufisadi, lowassa anasema suala la ufisadi kwake ni gumu
tanzania itajengwa na watu wenye moyo safi! Leo nilikuwa natembea mitaa ya jiji la mwanza..masokoni na waendesha boda boda story kubwa ni kuwa magfuli ameshakuwa rais kilichobaki ni uchaguzi wa wabunge na madiwani...
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufulmagufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
Chaguo la Mungu akawe padri!
Kila siku zinavyo zidi kuyoyoma, UKAWA wanapumulia mashinda na kutengeneza mafuriko ya "IT", ilimradi tu, wajipe moyo kama yale mafuriko ya Guinea Conakry. Haya mafuriko ambayo yanamfuata Magufuli kila aendapo, yanawapa mpasuko wa moyo UKAWA na Lowassa.