Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

baada ya kukosa watu kwenye uwanja wa mbezi mwisho kahamua kusimama barabarani na kumwaga sera
 
Nini kimemrudisha dar?Si alikuwa nakwenda fungia mwanza kwa madai yake ya kikabila na kikanda?Kogopa hata hicho kidogo Wenje na Lembeli watakimaliza.Kaingia dar tuu na kuwakumbusha wana kigamboni kauli yake KUWA WAPIGE MBIZI..
 
anatusababishia foleni
 
Hakika na ndio has a,CCM,ni chama kikomavu na kistaarabu katika siasa,Wafuasi na wapenzi wake ni wastaarabu sana,hawazomei,wala kumfanyia fujo mgombea wa chama kingine,wasiyemkubali.Wanaweka mbele suala la AMANI,amani kwanza,mengine baadaye.
 
Ccm wanalazimisha. Sio kila mtu ni mwanachama wao kwahivyo hakuna haja ya kusimamisha magari barabarani kuhutubia watu. Nenda kwenye jukwaa wanaotaka watakufuata si kusumbua watu kwenye shughuli zao
 
Kina mama tumieni kura zenu kwa CCM,imewathamini,kuwaekea mwanamke mwenzenu,kuwa makamo wa Rais.

Hii ndiyo sababu niipigie kura CCM???Lazima niwe mgonjwa wakati akina mama wanalala chini leo niipigie kura CCM eti sababu Makamu wa Rais ni mwanamke.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom