Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kwa hiyo unaona anayefit ni huyu fisadi wanayesema au? Utajikuta Utabaki peke yako mzee! Chadema asilia huko tumeshahama zamaniii!
Hebu mlinganishe Dr Slaa na Lowasa, pima then ujiulize kwa nini tulimpuuza. Hilo ni pigo

acha uongo bana chadema asilia yupi aliyeko ccm?wewe labda ni wale wasio riziki ila chadema asilia wote tuko kwa lowasa
 
Magufuli alia mwenyewe asema amesalitiwa,na kama angejua usariti huo asingethubutu kugombea. Kikwete amtelekeza, Mkapa akimbilia Tanga na Mwinyi nae asepa Zanzibar. Siku 62 za kampeni kikwete aonekana mara 2 tu,cku ya uzinduzi na Morogoro. Mwanza tunamunyoa Magufuli.
 

Attachments

  • Magufuli 1.jpg
    69 KB · Views: 773
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa Giza.
 
Kijarida cha kufungia chapati hicho lete taarifa toka magazet ya ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…