Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Sijaelewa kama hapa Dr. Magufuli alimaniisha Kiingereza au la; pia je kwa walio wengi hapo wamemuelewa kweli? (sikiliza kati ya 0:53 na 0:56).

Last edited by a moderator:
Jamani hivi bado najiuliza. Mgombea wetu wa ukawa mbona hana maono kama ambayo anayo Magufuli. Hivi tumemkosea nini Mungu ? Hakika kuna kitu ambacho ukawa hatukufanya vizuri , inawezekana roho ya Dr Slaa na Prof Lipumba bado zinatuangamiza kwa matendo tuliyowatendea. Hivi kweli hata sijajua Lowasa akisimama huwa anaongeleaga nini mpaka leo. Lowasa kwishney namshauri labda angejiuzuru mapema ili kukwepa aibu inayokuja
 
Ukimuangalia usoni Magufuli utaona kweli kuna dhamira ya dhati, lakini ukimuangalia Lowasa usoni huoni nuru ya kwweli unajenga hisia kama ya kuibiwa ibiwa hivi au kutapeliwa. Hizo ni hisia zangu tu jamani.
 
Jamani hivi bado najiuliza. Mgombea wetu wa ukawa mbona hana maono kama ambayo anayo Magufuli. Hivi tumemkosea nini Mungu ? Hakika kuna kitu ambacho ukawa hatukufanya vizuri , inawezekana roho ya Dr Slaa na Prof Lipumba bado zinatuangamiza kwa matendo tuliyowatendea. Hivi kweli hata sijajua Lowasa akisimama huwa anaongeleaga nini mpaka leo. Lowasa kwishney namshauri labda angejiuzuru mapema ili kukwepa aibu inayokuja

Wewe ni gamba tu, maono gani aliyo nayo wa ccm? kwa kuwahadaa wananchi kwa matatizo yaliyoletwa na serikali ya chama chake? nina wasi wasi na uelewa wako.
 
Wewe gamba usijifanye ukawa wewe eti ukawa tutapigwa na bado ndio mwisho wenu magamba wote
 
Stupip post.

Nani asiye juwa magufuli ni mtambo.

Magufuli afit nafasi ya urais
Kwa hiyo unaona anayefit ni huyu fisadi wanayesema au? Utajikuta Utabaki peke yako mzee! Chadema asilia huko tumeshahama zamaniii!
Hebu mlinganishe Dr Slaa na Lowasa, pima then ujiulize kwa nini tulimpuuza. Hilo ni pigo
 
Mmekwisha inunua Jamiiforums, ukumbi wenu
 
We acha kabisa tabia za Ku generalize watu,sema Mimi Niko kanda ya ziwa kura ntampa magufuri.sio kanda ya ziwa wasema.
 
Back
Top Bottom