Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

[h=3][/h]
12096588_915650788471663_871077224646140660_n.jpg


12112112_915761471793928_4598705683318003347_n.jpg

Dr. Magufuli akiwa Nkome Geita. Aendelea kuiteka Tanzania. Mafuriko ya watu wajitokea kumuunga mkono.
 
kama hayo ni mafuriko sijui ya EL tusemeje! Naona ccm waandae exit strategies maana safari hii hawaponi
 
vipi kashamaliza kujinadi kwa kisukuma?sisi tusio wake katuweka njia panda. kwa hili maghufuli katuangusha... kujitapa kwa ukabila sio fahari...
 
Hapo napo si alizomewa.... Chezea Mwanza.... CCM iliandaa watu kumbe hawakujua Igoma ni centre kubwa, wananchi walivyomiminika Mzee wa Pushup akaanza kuzomewa ile mbaya
 
[h=3]
12115712_451328841735342_9027924494541944449_n.jpg
[/h] Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90. Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 459,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga CCM.
 
12115712_451328841735342_9027924494541944449_n.jpg


Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90. Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 459,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga CCM.
Hii picha umeiharibu kwa kuiwekee mapambo pambo, miye nilijua live kumbe ya kuungwa ungwa !!! Kuhusu hao wanachama, toa takwimu kwa kila mkutano.
 
CCM Inafurahisha sana mashambulizi ya kivita haya!!

Yaani kuna viungo kila kona ya nchi wanaolisha mipira ya mwisho kwa JPM.
 
Ni kufulu,vijana zaidi ya 2500 wa Chadema wajiunga na CCM, Mkutano wa Magufuli maelfu kwa maelfu wajitokeza kumlaki Sengerema.


Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema waliojitokeza kwa wingi wenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnadani, Sengerema.
Dk. Magufuli aliwaambia wananchi hao kuwa atakuwa kiongozi mwenye maamuzi makini na kufanya kazi kwa bidii katika kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Sengerema waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mnadani.

 
Amerudi tena Sengerema? Maana tumeambiwa yupo Kigamboni mleta mada ebu fafanua au kwa kuwa mmezoea kucopy na kupaste basi na wewe umeona ni taarifa.
 
Uwongo mtupu ... nani asiejua usanii wa CCM ulivyokutana na futuhi la vijana wa kanda ya Ziwa? wamewapigia pushaps nyingii mwisho wa siku unakuta wanapongezana kwa Mabadilikooooo = lowassaaa .... Kujaza vijana wa secondary na primary kwa strategies za kuonekana kwenye luninga hakuja badilisha kiu ya wananchi ... wanajua Magufuli ni dogi la Mkapa et al ..
 
Uwongo mtupu ... nani asiejua usanii wa CCM ulivyokutana na futuhi la vijana wa kanda ya Ziwa? wamewapigia pushaps nyingii mwisho wa siku unakuta wanapongezana kwa Mabadilikooooo = lowassaaa .... Kujaza vijana wa secondary na primary kwa strategies za kuonekana kwenye luninga hakuja badilisha kiu ya wananchi ... wanajua Magufuli ni dogi la Mkapa et al ..

Hahahaaa!
 
Back
Top Bottom