Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,418
Mimi ndo nimetua duniani muda huu.
Mkuu nipe connection ya mbege na kisusio kwa hapa Dar.Tafadhali sana.
Nilirudi kwenda kuangalia id yake kuna hisia zinanishawishi mwamba ni me.Mleta mada ni me au ke?
Unamzimia njemba mwenzio?
Uko nyuma salama lakini?
Mbona wote hawa wanaonekana kama mashoga au watu wenye jinsia mbili mbili?