Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

Huu uzi utachafuka sio muda.Handsome wetu wa JF huyu hapa
c6aeaba039ba41d69a9dbce8c3523ec471-11-gollum.rsquare.w1200.jpg
 
Nilirudi kwenda kuangalia id yake kuna hisia zinanishawishi mwamba ni me.
Kuna kitatizo kidoooogo sehemu,au linaweza kuwa lishakuwa tatizo kubwa pia.
Umeona eenhh??!!!.Bila shaka ndo waleee wa Kwa tope la kwa mpalange.Maana ni aibu kwa Mwanaume kusema Mwanaume mwenzake ana mvuto.
 
Back
Top Bottom