Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Kwahiyo ndo mlisema Morocco Kwa Comoro atajipigia tu eeeh!,au siyo nyie!🤪

Waarabu wanakimbia kama mbwa wanaishia kuhema tu!,mamaeeeee!

Hao ndiyo Comoro Sasa kama mlikuwa hamuwajui!
 
Wazee wa kuwekeza siku ya Leo inaweza ikawa ngumu sana usiku ukawa mgumu mno hawa Morocco sio wa kuwadhamini
 
Kwahiyo ndo mlisema Morocco Kwa Comoro atajipigia tu eeeh!,au siyo nyie!🤪

Waarabu wanakimbia kama mbwa wanaishia kuhema tu!,mamaeeeee!

Hao ndiyo Comoro Sasa kama mlikuwa hamuwajui!
Wataweza kushikilia bomba hadi mwisho?
 
Morocco wamebadili

Kupitia kwa pembeni itawasaidia sasa
 
Comoros hizi back passes zinaweza kuwaletea shida.

Dk 53
0-0

Game On
 
Back
Top Bottom